+255 784 264 385, +255 789 937 417

N

News and Events

Nafasi za mafunzo / Masomo Januari 2025

Uongozi wa Chuo cha Ufundi Nangwa unapenda kukutaarifu kuwa tayari tumefungua dirisha la udahili kwa ajili ya mafunzo yatakayoanza Jamuari 2025.

Fomu za kujiunga zinapatikana katika website hii (downloads).

Wanachuo waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti shuleni tarehe 05/01/2025.

Kupakua maelekezo ya kujiunga bonyeza hapa.
SITE VISITORS
 
Designed by: Msuha J. A.

Copyright © Nangwa VTC 2024. All right reserved.